• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Malalamiko na Mrejesho |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Malengo
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha & Biashara
      • Afya
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi & Zimamoto
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mazingira & Usafishaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • MIfugo & Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Water
    • Vitengo
      • TEHAMA & Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Water
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu.
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Ripoti Mbalimbali
      • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini na Mwenyekiti wa Halmashauri wafanya Kikao na Wafanyabiashara

Imewekwa: February 16th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya  Serengeti Mhandisi Juma Hamsin 16/02/2021 amefanya Kikao na Wafanyabiashara wa Mji wa Mugumu ambao pia ni wamiliki wa vibanda ambavyo vinapatikana ndani ya Halmashauri kikao ambacho pia kimehudhuliwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Serengeti Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma pamoja na Wataalam baadhi ambao wanawakilisha Timu ya Ukusanyaji Mapato ya Halmashauri.

Lengo la Kikao hicho na Wafanyabishara hao lilikuwa ni kujadili namna ambavyo wafanyabiashara watalipia Kodi zao za Vibanda kwa Wakati lakini pia wale ambao wana wanadaiwa madni ya pango wanatakiwa kulipa Kodi hizo za Vibanda kulingana na Mikataba yao ilivyoainishwa  jambo ambalo litasaidia kuongeza Mapato ya Halmashauri na kuchochea Miradi mikubwa ndani Serengeti.

Katika Kikao hicho  Mkurugenzi Mtendaji Mhandisi Juma Hamsini  amezungumzia juu ya ujenzi wa Stendi Mpya inayojengwa kwa Mapato ya Ndani huku akiwasihi sana wafanyabishara hao kujenga vibanda maeneo ya Stendi  Mpya kwani Vibanda hivo ni vya Gharama nafuu.

Kwa Pamoja viongozi hao wamezungumzia pia suala la Ujenzi wa Uwanja wa Ndege ambao pia utakuwa chanzo cha kikubwa cha mapato Wilayani Serengeti lakini pia utachochea shughuli za Utalii kwani watalii wengi watakuwa wanafika moja kwa  moja Serengeti na hivyo huduma za kijamii zitaongezeka na Mapato yatakuwa juu kwa Wafanyabishara watauza vitu vyao kutokna na wageni kuongezeka.

Mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma aliwasihi wafanyabishara hao kuwa masuala ya kulipa kodi ni ya muhimu kwani Kodi hizo ndio zitaongeza Mapato lakini pia hata wao watafanya biashara zao bila kubughuziwa na viongozi wa Wilaya na pia Serengeti itajengwa na wanaserengeti wenyewe hivyo waongeze kasi kwenye masuala ya ulipaji Kodi.

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 15, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2021 December 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI NA SHULE ZA SEKONDARI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 SERENGETI. December 23, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHAGUO LA PILI SHULE ZOTE January 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mwenyekti wa Chama cha Mapinduzi Mhe Jacob Bega na Mwenyekti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ayub Mwita Makuruma waendelea na ziara Kata ya Nyamoko na Kebanchabancha

    March 01, 2021
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Jacob Bega na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mheshimiwa Ayub Mwita Makuruma wafanya ziara ya kutembelea Kata kuhamasisha Maendeleo

    February 24, 2021
  • Wananchi Kata ya Kebancaha wajenga Sekondari Halamshauri ya Wilaya yapeleka Mbati 240,Mifuko ya Saruji 150 na Mbao 360 kuongeza nguvu

    February 20, 2021
  • Mshauri wa Tasaf Ndugu Sokoro Mnubi amekamirisha zoezi la uwasilishaji wa Fedha za Kaya Masikini Tarafa ya Ngoreme pamoja na Ikorongo 19/02/2021

    February 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Serengeti
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Maktaba ya Picha za Matukio mbali mbali
  • Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2017
  • Bofya hapa kupata fomu mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Rais
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Mkoa wa MARA
  • Tanzania National Parks TANAPA
  • GIZ

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    31603 Stendi Kuu | Serengeti

    Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti

    Simu ya mezani: 0282985686

    Simu: 0782677763

    Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz

Other Contacts

   

Wageni waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti