Friday 26th, April 2024
@Uwanja wa Sokoine Mugumu Mjini
Maadhimisho ya nane ya Mara Day yatafanyika wilayani Serengeti kuanzia tarehe 12/09/2019 na kuhitimishwa tarehe 15/09/2019. Maadhimisho hayo yatajumuisha nchi mbili ambazo ni Tanzania na Kenya yakiwa na lengo la kutoa msukumo mkubwa wa uhufadhi wa bonde la mto Mara.
Shughuli zitakazofanyika ni pamoja na
NYOTE MNAKARIBISHWA
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti