Friday 29th, March 2024
@Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti litakaa mkutano wake wa kwanza katika mwaka wa fedha 2019/2020. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti