Ofisi ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Serengeti inawatangazia wananchi wote wa Jimbo la Serengeti kuwa itaweka wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kwa Siku Nne kuanzia Tarehe 17 Juni, 2020 hadi Tarehe 20 Juni, 2020, katika vituo vilivyotumika wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Uwekaji wazi huu utafanyika kwa kuzingatia tahadhari zote za afya kuhusu kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na kirusi cha CORONA (COVID - 19)
ZINGATIA.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti