Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti anatangaza nafasi za kazi zifuatazo:-
1. Mtendaji wa Kijiji Daraja la III - Nafasi saba (7)
2. Msaidizi wa hesabu (Accounts Assistant) - Nafasi mbili (2)
Kwa maelezo zaidi juu ya kazi hizo na namna ya kuomba fungua kiambatanisho cha hapo chini.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti