Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya WIlaya ya Serengeti anapenda kuwataarifu waombaji kazi za Watendaji wa Vijiji Daraja III kuwa usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 14-15 Mei 2018
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo.
i. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wanatakiwa kufika ofisi za Halmashauri tarehe 14.
ii. Usaili wa mchujo lwa waombaji utafanyika tarehe 14/05/2018 kuanzia saa tatu asubuhi.
iii. Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti halisi vya elimu ya sekondari na vyeti vya taaluma bila kusahau cheti cha kuzaliwa.
iv. Wasailiwa watakaoshindwa kuwasilisha vyeti halisi vya taaluma hawataruhusiwa kuendelea na usaili.
v. Kila msailiwaatajigharamia gharama za chakula, nauli na malazi.
Bofya hapa kupata orodha ya majina ya wasailiwa waliotwa kwenye usaili
Tangazo hili limetolewa na
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.
31603 Stendi Kuu | Serengeti
Anuani ya Posta: 176 Mugumu Serengeti
Simu ya mezani: 0282985686
Simu: 0782677763
Barua pepe: ded@serengetidc.go.tz
Hakimiliki © 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti